Pole
Where my [emoji1699] at.....??[emoji853][emoji853]
Ngoja nimalize kupika nije nikupe ripoti nkamu maana umepotea muda mrefu na matukio ni mengi mengi mengi...Jamani hadi nimeongezeka kilo. Ndaga nkamu. Nimerudi sasa nkamu
Where my [emoji1699] at.....??[emoji853][emoji853]
Binamu...upooo?!![emoji16][emoji16][emoji16]miss youu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Inaonekana nzuri ila hao watu wake hivyo vibichwa vyao mbona vidunchu hivyo?Angalia m movies kuna kamove tu kazuri π
21:30 bado parefu kuangalia hao wakenya comedian wa mchongo
Miss you more bina akeBinamu...upooo?!![emoji16][emoji16][emoji16]miss youu
Sante dearPole
Kina nkamu na ukarimu wetu. Nakusubiri hapa nkamuNgoja nimalize kupika nije nikupe ripoti nkamu maana umepotea muda mrefu na matukio ni mengi mengi mengi...
Mimeno hujaona? π€£π€£Inaonekana nzuri ila hao watu wake hivyo vibichwa vyao mbona vidunchu hivyo?
Naelewa maunyama ππ nikiwa mkubwa nitanunua π πHahaha[emoji41] Nimekuelewa, Hiyo nikiwekaga Portrait mode inafanya mambo sana.
Unaweza zoom Location hapo, hapa ukija kumwagilia moyo low budget inawekana [emoji23]
Unaingia ndani unanunua mambo yako unayopenda unakuja unakaa hapo nje, Huku ukienjoy ka mziki kwa mbali, Sauti ya fountain , Na kuna sungura watakua wanazunguka zunguka miguuni hapo, Ukienda na watoto ndio safi kabisa.
View attachment 2294499
Kafridge ni nonexistent!!!!π€At the rate of 0-10, Please rate Kifridge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2294503
Naelewa maunyama [emoji119][emoji119] nikiwa mkubwa nitanunua [emoji28][emoji28]
Location imetulia sana [emoji7]
Nimepamiss Simply Fresh π₯΄π₯΄Hahaha[emoji41] Nimekuelewa, Hiyo nikiwekaga Portrait mode inafanya mambo sana.
Unaweza zoom Location hapo, hapa ukija kumwagilia moyo low budget inawekana [emoji23]
Unaingia ndani unanunua mambo yako unayopenda unakuja unakaa hapo nje, Huku ukienjoy ka mziki kwa mbali, Sauti ya fountain , Na kuna sungura watakua wanazunguka zunguka miguuni hapo, Ukienda na watoto ndio safi kabisa.
View attachment 2294499
Kafridge ni nonexistent!!!![emoji847]
Location nahisi kabisa haiko mkoa niliopo π[emoji23]Hamna maunyama hapo, Location jitahidi [emoji41]
Nimepamiss Simply Fresh [emoji3061][emoji3061]
Location nahisi kabisa haiko mkoa niliopo [emoji41]
Geneva of Africa πHebu taja mkoa tuone [emoji41]
Uendelee hivyo hivyo sasa πͺπΎπͺπΎ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu kizuri kukisikia kama hiki wakati huu [emoji23][emoji23][emoji23].