Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Duhh [emoji2357][emoji2357][emoji109]View attachment 2291846
Karibu
Niko na shemeji ako
😁😁😁 cha babe ni changu? Ngoja nitamujliza kama ni kweli, kama chake ni changu pia.Sawa jirani..kimfaacho mtu chake. Cha babe ni chako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe bana wee
Tinsley Tajiri mzuri mlain alafu boss upo shata shata uzuri wa lips zako zina urudisha uzuri wa tabasamu lako ubarikiwe sana boss mwenye kumiliki apartment zake hapa mjini [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hawa mabinti jau kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NitafsilieEeh bado sana kufikia level hizo
Nashukuru sana
Be blessed Bwana Putin
You're like a ray of sunshine on a really dreary day.
Thank you [emoji1545]
Wewe ni kama miale ya jua katika siku mbaya sana.
Khaaaa kwahyo mm siku mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni kama miale ya jua katika siku mbaya sana.
Rudia tena kusomaKhaaaa kwahyo mm siku mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Tatizo kichwa changu sijui weed gan nitafsilie huko ChiniRudia tena kusoma
Wewe ni mfano wa miale ya jua so you brighten up the day and not otherwise .
It's just a compliment eeh .