Selfika na JF: Snap it. Show it

Khe mbna wamesema moja aya nipe maelekezo
Kwa maelezo uliyotoa hapo awali ni hiyo hiyo moja ila Musoma kuna shule mbili za Secondary zenye jina la Musoma
Na majina yake Sahihi ni
1. Musoma Day Secondary School (Hii haina Advance)
2. Musoma Technical Secondary School (Hii iko na Advance)
 
Tajiri umepona
 
Ooh kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…