Selfika na JF: Snap it. Show it

Na Yna2 mnaongelea nini kwani naombeni mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!![emoji2955]
Wee shouzzzzzz tunachangamsha mdomo, kimbau mbau kakauka km jani la mgomba, linalia kakachu kakachu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Weraaaaaaaaah weraaaaaaaah. Ukiwaona km watu kumbeee vibwengo. Woiiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…