mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Pata selfie sticks ambazo kazi yake ni uezeshaji na uboreshaji wa picha za kamera ya mbele(selfie)
Hii selfie stick itasaidia picha kutokea katika ukubwa zaidi na inasaidia kuwepo kwa watu wengi zaidi kwenye picha.
Kwa shilingi 25,000/- piga sim au text au whats app
0786371108/0762908355.
View attachment 282321View attachment 282322View attachment 282323
Unaweza kutumia kwenye tablet....!!!!?????
Teh duniani kila mtu ana kitu chake anachokipenda teh "selfie" mmh
Unaweza kutumia kwenye tablet....!!!!?????
8.1 tab s
Hivi selfie ndio mtu mchoyo?
Mi nataka laptop inayouzwa bei poa na isiwe imeshafunguliwa 0755434353
Hivi selfie ndio mtu mchoyo?
Chai.....mtu mchoyo ni "selfish"Yea kwa direct translation ila in modern form ni taking pictures using a front camera. Or self taking.
Mbali na selfie hata kupiga picha tu huwa sio hobbyWewe hupendi selfie?
Chai.....mtu mchoyo ni "selfish"
Mbali na selfie hata kupiga picha tu huwa sio hobby
Chai.....mtu mchoyo ni "selfish"
Chai.....mtu mchoyo ni "selfish"