Selfie nyingine bwana..

Nimesikia India wamepiga marufuku hizi selfie, maana watu wanatake risks kwenye mazingira kama haya na ya hatari ili wachukue selfie. Na wengi wanaumia au kufa.
 
ha ha ja[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Na wewe nu mshamba sana doo!!
Muda unao_onekana hapo ni wakati ambao picha zilitumwa kwenye whatsApp so ni time moja na delivered same mins alaa, sio muda akiong'atwa na honey!!
Niki check time naona ni uongo ulipitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…