Wakuu habari zenu?
Wakuu kumekuwa na tabia ambayo imekithiri miongoni mwetu vijana wa kitanzania na wakiafrica kwa ujumla, Tabia ambayo tusipoichukulia itaendekea kutatafuna mpaka mwisho wa dunia!
Tabia hii ni tabia gani?
Tabia ninayoizungumzia hapa ni tabia ya kujichukia,kuanzia kwenye nafsi,akili, mwili,hadi na mszingira yanayotuzunguka kwa ujumla
Na chuki hii inakuwa kali zaidi pale kijana wa kiafrica anapojilinganisha na race nyingine hasa wazungu.utaskia kaulo km hizi
-"Miafrica ina roho mbaya sana"
-"kwa hya maisha ya bongo bora nikawe hta mfagia barabara ulaya"
-"Bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadamu africa"
-"Yaani mimi nikipata kazi hta kazi ya kuzibua vyoo ulaya ntashukuru sana"
-Miafrica ndyo tulivyo
Sasa ni kipi kinachosabisha vijana wa kiafrica tunakuwa na chuki kubwa dhidi ya nafsi zetu na mazingira yanayotuzunguka kwa ujumla?