Self hate is real, kijana chukua hatua!

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,492
2,000
Wakuu habari zenu?

Wakuu kumekuwa na tabia ambayo imekithiri miongoni mwetu vijana wa kitanzania na wakiafrica kwa ujumla, Tabia ambayo tusipoichukulia itaendekea kutatafuna mpaka mwisho wa dunia!

Tabia hii ni tabia gani?

Tabia ninayoizungumzia hapa ni tabia ya kujichukia,kuanzia kwenye nafsi,akili, mwili,hadi na mszingira yanayotuzunguka kwa ujumla

Na chuki hii inakuwa kali zaidi pale kijana wa kiafrica anapojilinganisha na race nyingine hasa wazungu.utaskia kaulo km hizi

-"Miafrica ina roho mbaya sana"

-"kwa hya maisha ya bongo bora nikawe hta mfagia barabara ulaya"

-"Bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadamu africa"

-"Yaani mimi nikipata kazi hta kazi ya kuzibua vyoo ulaya ntashukuru sana"

-Miafrica ndyo tulivyo

Sasa ni kipi kinachosabisha vijana wa kiafrica tunakuwa na chuki kubwa dhidi ya nafsi zetu na mazingira yanayotuzunguka kwa ujumla?
 
Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,199
2,000
Self hate is real good...Huwezi nizuia nisifeel magumu ninayokumbana nayo maana ndiyo ukweli wenyewe.Bora nikawe fungo ulaya.
 
miss IQ

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
253
500
Self hate is real good...Huwezi nizuia nisifeel magumu ninayokumbana nayo maana ndiyo ukweli wenyewe.Bora nikawe fungo ulaya.
Ugumu wa jambo lolote usiwe chanzo cha kujichukia, badala ya kukaa nakulalamikia Hali yako ,bora uweke juhudi ya kuleta mabadiliko unayotaka maana ata ukijichukia.. nothing changes.
Be the change you want to see
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,415
2,000
wa maisha ndio chanzo cha yote..
Nishanusurika kujitoa uhai Mara kadhaa..
Kwakweli Mungu ambariki S kwa yote aliyonitendea kuniweka sawa kiakili.
 
mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,492
2,000
Self hate is real good...Huwezi nizuia nisifeel magumu ninayokumbana nayo maana ndiyo ukweli wenyewe.Bora nikawe fungo ulaya.
Then ukishajichukia what are you gai n? Chukua hatua za kubadilisha maisha yako ukiwa hpa hpa ukiwa na acces za kutosha kuliko ulaya ambapo kuna access ambszo ni limited
 
Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,199
2,000
Ugumu wa jambo lolote usiwe chanzo cha kujichukia, badala ya kukaa nakulalamikia Hali yako ,bora uweke juhudi ya kuleta mabadiliko unayotaka maana ata ukijichukia.. nothing changes.
Be the change you want to see
Thanks,ila nadhani ni ngumu sana ku change!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom