Rooms Available; for students at University of Iringa (Tumaini)

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya wanafunzi University of Iringa (Tumaini University).
Vyumba ni self contained, maji na umeme. Nyumba ina maji na umeme na imezungushiwa uzio na kuna mlinzi wa usiku.
Baadhi ya vyumba kuna kitanda cha double decker vya futi 2.5.

Ni umbali wa mita mia tatu kutoka Chuoni.

Mawasiliano: 0719055711/ 0787377511
 
Mbona bei hausemi?
 
Bei za iringa zinajulikana mkuu 15,000 kwa mwez.....si unajua mikoani nyumba sio issue
 
wait a min...!!!

50,000 per month? Maji na Umeme bure au juu yetu wapangaji?

Utashangaa hapo umeme Luku mnachangia wakaaji na.nnavowajua wanachuo ma friji+pasi za umeme+ata majiko+mazagazaga kibao ya umeme, kila mwezi unatoa 20.
Tukija bili ya maji je? nayo 15.

Si bora ukae TRM au Mwang'ingo chumba ata cha.15 utapata, ila sio self, ila kuna maji na umeme. Ikabaki kwako nauli tu. (to and fro mia 8 per day=5,600 per week = kama 20 hivi per month).

Na ukiweza unanunua baiskeli kabisa kukata mzizi wa fitina kuhusu Nauli.

Hao Wamissionari wa Tumain ebu wajenge Hostel za maana sio kuwafanya wanafunzi waangaike hivi. Boom lenyewe liko wapi??
 
Mkuu, unaongea usichokijua. Yawezekana sijakuelewa unachotaka kusema, hapo suala ni Tumaini University au ni bei ya soko kwa mazingira ya Vyuo Vikuu? Nenda SAUT, UDSM i.e Changanyikeni, Makongo, Survey au hata IFM wanaokaa maeneo ya karibu na chuo na uulize bei zinakwenda.

Kanunii ya masoko na bei iko wazi, ma ndio inayotawala popote.
 
Back
Top Bottom