Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call forwarding kwa namba zote (on condition or always), lakini nachotafuta ni kama namba kumi hivi wasinipate. Inawezekana?
Natanguliza shukrani