Diploma holders tulioapply bachelor kupitia NACTE, hadi saivi hakijaeleweka,, saivi watu hawaelewi tatizo ni nn hadi kuchelewesha selections kiasi hiki,, mara capacity zibadilike to 0 mara zirudi vilevile,,
Kwa mwana JF yeyote mweny info, tunaomba mtu-uptodate jamani, coz tension imekuwa kubwa,,, tutegemee selection kuanzia lini, $? Hali ni mbaya kweli,,,,
Ingieni tena kwenye acc zenu mzigo ushatema acheni kupigapiga kelele
nacte bado mkuu
mimi acc yangu bado ipo vile vile
Nacte washatoa majina na mm nimepangiwa udsm telecommunication engineering
mimi acc yangu bado ipo vile vile
usihofu mkuu...nacte wajatoa majina officially,ila udsm wametoa majina tena 1st batch,ka uliomba udsm kaangalie
Wasiliana na nacte sasa kaka me mzigo umetema na kuna marafiki zangu nao mzigo umeteMa kwao
Wasiliana na nacte sasa kaka me mzigo umetema na kuna marafiki zangu nao mzigo umeteMa kwao
Hahahahahahaaaa! kikoozi bhana, inaonekana unaikubali sana tele ww coz n mara ya pili hii unaandka mambo ya tele ww.
nacte bado..kuwa mvumilivu.
Afisa wa Nacte hapa.
ila udsm si watatoa majina mengne??
Huyu mwehu kuna sehemu kasema kachagulia MUSIC