Selection za wanafunzi Law school of TZ-2017

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
731
Reaction score
615
Habari zenu wakuu, nimeona kwenye website ya Law school of Tanzania kuwa wameshaselect wanafunzi kwa ajili ya intake za April na August 2017. Lakini nafikiri kutokana na heavy traffic muda huu kwenye website yao, imekuwa ni ngumu kuweza kuzipakua hizo documents. Naomba kwa yeyote aliyeweza kuzipakua basi aziweke hapa ili kuweza kufikiwa kirahisi na consumers wengi.
 
Naomba unisaidie kunipa link ya website yao kma unayo
 
Yaah tuna omba msaada kama kuna alie download
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…