vijana msiogope, hiyo ni kawaida kabsa, hizo status zitabadilika badae. Mshukuru Mungu kama jina lako halipo kwenye list ya wanaotakiwa kuomba upya, hyo inamaanisha kwamba jina lako limetumwa loan board kwa ajili ya mkopo, au pengne linasubri majina mengne yapangiwe mikopo ili kutangazwa rasmi ikiwa hauna vigezo vya kupata mkopo (inamaanisha chuo umepata, mkopo ndo endelea kumwomba Mungu).