Wadau nimepita leo katika website ya tcu nkaona wametoa majina ya watu ambao hawajachaguliwa na nikaangalia jina langu halipo .. sasa nikienda kwenye profile yangu ya tcu naona selection status not yet processed .. je hii ipo sawa maana sije ikawa selection zimetoka
Nimeyaangalia tayari majina ya waliokosa chuo raundi ya kwanza...langu halimo lakini kule kwa profile bado not yet processed na ile sehemu ya application imefunguliwa tena kwa kujaza program moja tu...sasa niko njia panda hapa
Kwenye web ya tcu pale ile sehemu ya news and events kuna tangazo la juu kabisa linalowahusu wale ambao hawajachaguliwa vyuo....humo kuna majina zaidi ya 9000 so u need to download ile notice afu ndo uangalie...kama unatumia simu hakikisha iwe na pdf reader
mkuu unatisha watu hvyo!! Sio selection, bt ni majina ya watu wanaotakiwa kuapply second round, i mean kwenye selection zao 5 za mwanzo hawajapataa hta moja! Swali, je waliopo jkt inakuaje?
mkuu unatisha watu hvyo!! Sio selection, bt ni majina ya watu wanaotakiwa kuapply second round, i mean kwenye selection zao 5 za mwanzo hawajapataa hta moja! Swali, je waliopo jkt inakuaje?