Hii post ninawasiwasi nayo UD hawawezi kutoa kwa style hii mtu ukaweza kuedit, details zako ni lazima wangeweka kwenye PDF, halafu nimejaribu kufuatilia hawa watu waliochaguliwa siwaoni kwenye matokeo ya mwaka huu, pia kuna a' level index no zingine hazipo kwenye database ya necta kwa upande wa a'level mfano S1161, S1670.
naomba kama kunamtu ameliona jina lake atupe ushahidi. tuwe makini kwa hili plz.