selection udsm

selection udsm

solidgirl

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
33
Reaction score
18
kuna habari nimeiona mitandaoni lakini sijapata chanzo makini cha kudhibitisha hilo. chuo kikuu cha Dar es salaam wametengua usaili wa wanafunzi wake takribani 682 waliokuwa wamedahiliwa chuoni hapo. naomba mwenye kujua lolote kuhusu hili jambo atueleze
 
Attachments

  • IMG-20181021-WA0028.jpg
    IMG-20181021-WA0028.jpg
    36.1 KB · Views: 73
Nina ndugu kakuta message kama iyo kwenye account yake Udsm. Kwa anaejua vyuo ambavyo fourth application inaendelea anijuze tafadhal
St joseph college of engineering...udom
Nina ndugu kakuta message kama iyo kwenye account yake Udsm. Kwa anaejua vyuo ambavyo fourth application inaendelea anijuze tafadhal
Udom... st joseph luguruni
 
duh hata sielewi sasa majina yatatoka lini maana mi nili apply second round mpaka leo UD hawajatoa majina, ila kwenye acc yangu huo ujumbe wa kuambiwa ni apply kwengine sijapata naambiwa tu nimechaguliwa.
 
Acha tyuuu hata mimi nipo kama wewe... nasubiri majina
 
Mi nimeenda hadi ofisini wakaniambia subiri tu utaona kwenye mtandao. Ila the funniest thing ni kuwa UDSM wanazingua. Vyuo vingine majina yote wametoa kuanzia 1st round, second na third ila wao wametoa 1st Round tu. Hata hii kubugi wamesababisha wenyewe ingekuwa mtu unaambiwa hujachaguliwa ile round ya 3 ningefocus kwenye vyuo vingine lakini wao wanasisitiza umechaguliwa then wanakuja kukubadilishia ghafla kwenye account, japo mi hawajanifanyia hivyo ila naelewa jinsi aliefanyiwa hivyo amejisikiaje waache ukiritimba.
 
Wameshatoa leo ingia kwenye website mimi jina langu nimeliona

Back
Top Bottom