Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

Km udsm wamekureject nenda nacte km Jina lako lipo watakuambia na utafanya selection mpya
 
Km udsm wamekureject nenda nacte km Jina lako lipo watakuambia na utafanya selection mpya

Mkuu ahsante...nilienda nacte wakaniambia kwa jna langu halimo kwenye rejected list na vilevile kwa faculty niliyoomba udsm haijawarudshia majna yoyote...majna ambayo udsm imerudsha n za faculty zngne......tatzo confirmation!!!!..daa..nahic kuchanganyikiwa then leo ndo wameanza kuripoti!!
 
Profile yako wamekuandikiaje zee seeker? unaweza weka screenshot japo kaujumbe tuu?

SELECTED
Congratulation!! Your are successfully confirmed to join selected Programme below in said Institution/College.
PROGRAMME CHOICES:

CHOICEINSTITUTE NAMEPROGRAMME NAMESTATUS
1UNIVERSITY OF ARUSHA - ARUSHABACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION IN ACCOUNTING WITH EDUCATIONSELECTED
Continue with Application.Natumia smartphone sinautaalamu Wa kuweka picha
 

Ungesaidia kuwajuza wenzako faculty ambazo wamereject applicants
 
Hata hivyo ninyi mlipataje hivyo vyuo vikuu au hapo UDSM wakati vyuo vilikuwa havipo kwenye list ya NACTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…