dah kuna watu hawaridhiki! mchana kutwa mlikuwa wapi? saa hizi mnasumbua watu wanataka kupumzika? heb kuweni na huruma. waacheni watu walale. kuanzia kesho mtu yyt ataehitaji kuangaliziwa udsm ntatoa ofa kuanzia saa nne ili usiku uwe ni muda wa kupumzika.tusameheane kwa hili. over