Hivi tutapeleka wapi malalamiko yetu coz serikali yenyewe inayojiita sikivu imetudanganya, kwa kuwa katika tamko lake waziri wa elimu alisema posts zitatoka mwezi wa sita, then shule ni mwezi wa saba. Leo ni mwisho wa mwezi na bado wapo kimya as if hakuna kilichotokea, hivi hii mijamaa inawaza nini au ndo kila kitu kimesimama kwa ajili ya obama? Damn!!!