huko umepotea jembe embu tafuta humu ndani kunapost moja wenzako wa algeria wa mwaka jana waliitoa wanailalamikia heslb kuwasahau na kutowajali yaani wanakufa njaa huko na madeni sikukatishi tamaa ila kama heslb ndo wana wafadhili kabla haujaenda jipange vyema..