Selected but not approved

Selected but not approved

Umechaguliwa na chuo ila wao ndio wana tatizo na tcu. Chuo wenyewe watashughulikia baada ya siku mbili tatu hiyo status/remaks itaondoka. Hata kwa udsm ilitokea.
Saw mkuu nimekuelew so kumbe cio ishu kubwa san kivil
 
Huyo anazo sifa za kuingia chuo hana shida. Shida ipo kwao kama wamempangia course ambayo hajakidhi cut point.
Ondoa hofu.
Kwani yupo course gani na ana matokeo gani?
 
Broo ishu ni hii selection za juz kwamb ka be selected but not approved
 
Mimi pia nlikuwa nimechaguliwa chuo flani ila sikuwa approved, baada ya siku mbili wakatoa majina ya watu waliokuwa approved.
Juzi kati Jumatano kuna chuo kikuu kingine kikanipigia simu na kuniambia kuwa wameshatatua hilo tatizo. Kwahiyo tatizo ni mvutano kati ya vyuo na tcu.
Chuo wameshakuselect ila tcu ndio wanakaza kwamba huna vigezo, ndio maana ya selected but not aproved, na watakaoaprove ni tcu.
Nadhani ni hasira za tume baada ya kuzuiwa kudahili wanafunzi.
 
Walitoa namba ili washughulikie tatiz sas ishu inakuj namb zao hazipatikan tukawatumia kweny email yao tatzo still hawajibu email
Kama simu uliyopewa haipatikani, email unategemea itapatikana na itakuwa njia ya uhakika?
 
Mimi pia nlikuwa nimechaguliwa chuo flani ila sikuwa approved, baada ya siku mbili wakatoa majina ya watu waliokuwa approved.
Juzi kati Jumatano kuna chuo kikuu kingine kikanipigia simu na kuniambia kuwa wameshatatua hilo tatizo. Kwahiyo tatizo ni mvutano kati ya vyuo na tcu.
Chuo wameshakuselect ila tcu ndio wanakaza kwamba huna vigezo, ndio maana ya selected but not aproved, na watakaoaprove ni tcu.
Nadhani ni hasira za tume baada ya kuzuiwa kudahili wanafunzi.
Hongera mkuu but hichi chuo kinaonyesh ni wazemb kwel coz mpak now wanatuacha njia panda sjui kam atafanikiw kuanza masom tareh30
 
Hiv anawez anza masom huk ana shughulikia approved
 
Hongera mkuu but hichi chuo kinaonyesh ni wazemb kwel coz mpak now wanatuacha njia panda sjui kam atafanikiw kuanza masom tareh30
Shukrani kwa Mungu.
Kama yupo karibu na chuo angeenda tuu ajue inakuwaje. Ila nadhani kesho selection nyingi zitatoka atakuwa ana jibu.
 
Poa broo ngoj tuone but still ni mbal Dar mpak dodom mipango
 
Mimi pia nlikuwa nimechaguliwa chuo flani ila sikuwa approved, baada ya siku mbili wakatoa majina ya watu waliokuwa approved.
Juzi kati Jumatano kuna chuo kikuu kingine kikanipigia simu na kuniambia kuwa wameshatatua hilo tatizo. Kwahiyo tatizo ni mvutano kati ya vyuo na tcu.
Chuo wameshakuselect ila tcu ndio wanakaza kwamba huna vigezo, ndio maana ya selected but not aproved, na watakaoaprove ni tcu.
Nadhani ni hasira za tume baada ya kuzuiwa kudahili wanafunzi.
Dogo sio hasira,wanafanya kazi kwa kufuata vigezo,chuo kinataka ada yako kijieshe,that is why TCU wako hapo kati kuregulate haya mambo
 
Back
Top Bottom