Jonas Johnson
Member
- Oct 13, 2017
- 14
- 2
Wakuu habari za asubuhi nilikuwa naomba msaada nimechaguliwa chuo cha mipango dodoma lakin nimeandikiwa not approved due to not meet minimum point of program niliwasiliana na chuo wakasema ni watumie tatizo la ngu kwenye Email yao lakn cha kushangaz mpak leo hawajajibu ni kaenda TCU wanasem hilo tatzo lishugulikiwa na chuo mpaka sas hiv cjui hatima ya chuo chang jaman
Kwaanaye fahamu hilo tatzo naomba anisaidie
Kwaanaye fahamu hilo tatzo naomba anisaidie