Vwawa moja,maeneo ya kwa JimmyHahahahahah! Selcom sasa iko hewani LUKU zinafyatuka. Nilitangaza kuuza mashine yangu humu sasa nimeahirisha, wapi ichenjezya! Mnaojua kuita watu humu niitieni ichenjezya hapa.
Mm nimenunua umeme sasa week imepita sijapata umeme nataka niwapeleke mahakani aise huu ni wizi kabisa.
Mbona nilisikia serikali imesitisha mkataba na selcom vp tena??
Mkuu ichenjezya unaitwa huku na SexerHahahahahah! Selcom sasa iko hewani LUKU zinafyatuka. Nilitangaza kuuza mashine yangu humu sasa nimeahirisha, wapi ichenjezya! Mnaojua kuita watu humu niitieni ichenjezya hapa.
hahaha!!! bado wewe tu.Hii nchi kwa matamko nadhani yaongoza
Hata mimi kesho natoa tamko kuhusiana na hasara niliyoipata na hatua za kisheria nitakazo chukua baada ya Selcom kusimamishwa kutoa huduma ya LUKU na serkali.Hii nchi kwa matamko nadhani yaongoza
Safi sana Selcom. Maxmalipo huduma zao za luku sio sharp kabisa. Ukinunua umeme kwa Maxmalipo utashangaa message inakuja baada ya saa 5 au mpaka kesho yake wakati Selcom wakati inachapisha luku na wakati huo huo message inaingia. Maxmalipo wajirekebishe vinginevyo wategemee nguvu ya wakubwa lakiini kwenye huduma wako slow sana
Mm nimenunua umeme sasa week imepita sijapata umeme nataka niwapeleke mahakani aise huu ni wizi kabisa.
Wengine hadi leo hatujapewa umeme tulionunua wala kurudishiwa pesa zetu.
Wamenipa namba ya kuwapigia Tanesco,hadi sasa inafika wiki toka waniambie nisubiri watanitumia umeme. Halafu namba yenyewe muda wote ipo busy.