Selasini: Jeshi la Polisi linaharibiwa na Wanasiasa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amesema Majeshi la Ulinzi ya Tanzania yanafanya kazi nzuri na yanaheshimika katika nchi za Afrika ila yanaharibiwa na wanasiasa,

Mbunge huyo amesema kwa kutumika huko kisiasa, majeshi, hasa jeshi la Polisi linapoteza umakini wake hali inayopelekea kutokea matukio mbalimbali ya kigaidi ambayo yameshindwa kudhibitiwa na jeshi hilo,

Akitolea mfano wa matukio ya Kibiti na ya watu kutekwa na kupigwa risasi, Selasini alisema jeshi la Polisi linahitaji kitengo makini cha upelelezi ili kuwang'amua wahusika wa matukio hayo,

Akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Ulinzi, Bungeni Dodoma, Selasini alisema kuna hofu kubwa kuwa baadhi ya maeneo nyeti hapa nchini inasemekana yanalindwa na askari kutoka Rwanda,

"Hofu hizo ni lazima ziondolewe kwani inawezekana watu hao wakahusishwa na watu wasiojulikana. Hivyo kuna ulazima kitengo cha upelelezi cha Jeshi la Polisi kikaimarishwa ili kiwe na nguvu ya kufanya uchunguzi kwenye maeneo hayo yenye hofu," alisema Selasini

Mbunge huyo alisema Jeshi la Polisi la Tanzania lina uwezo na haoni kama kuna umuhimu wa kuleta wanajeshi kutoka nchi jirani.
 
Ukiona wamepelekwa polisi ujuwe hao sio magaidi bali kuna mchezo wa kuigiza. Magaidi hupelekewa JWTZ sio akina Sirro na Mambosasa watanzania sisi maiti na mfu hajui kinachoendelea.
 
Ni kweli hii nchi inaharibiwa na CCM kwa kutaka "kulazimisha" vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi vikiwa upande wao na wala siyo kwa weledi wa kazi yao ya kulinda mipaka ya nchi yetu kwa JWTZ na kulinda raia na mali zao ukiwa ni wajibu no 1 wa Jeshi letu la Polisi
 
Ndiyo Mkuu ni habari ambayo niliitoa
Home - Sauti Kubwa niliiweka hapa mara tatu na kuondolewa mara zote. Inatia moyo kuona imeibuliwa hadi Bungeni.
Mkuu
Hata mimi ningekuwa mod ningefuta hiyo pumba yako kama mavi ukutan yan.
Kwa sabab kama umeweza kutuongopea kuwa ukuta wa mirerani mosi kuwa upo mkoa wa Arusha
Ilhal Ukuta wa mireran upo mji mdogo wa mireran, wilaya ya simanjiro mkoa wa manyara,

Na pili kutuambia kuwa ukuta huo unalindwa na wanyarwanda wakat hadi sasa ukuta upo kama haupo
Haujaanzwa kulindwa, hauna hata mlinzi mmoja zaid ya mgambo wakusanya ushuru getin

Tena unaenda mbal kutuaminisha kuwa walinzi wa ukuta n "majasusi"
Mkuu hebu tueleze "majasus" wanalindaje ukuta sasa???

N tangu lin ule ukuta umeanza kulindwa mkuu.
Aaaaaaaaaah mkuu,hebu kuwa serious ktk maandish yako.

Sasa kama kwny kipengele cha ulinzi wa UKUTA umetake advantage ya ujinga wa wasomaj wako kutupotosha kutudanganya utakavyo kwa maslahi yako,Je hii article yako ilikuwa na uozo na pumba kias gan apart from kuwa nmegundua uandish wako uandish wako ni uandish wa kichuki,kisas,vijembe na kimipasho ulotawaliwa na husda na malengo ya ki-mbwa kwa bwana wake.

Hakika mods wamekutendea haki kwa saut kubwa.
Screenshot_20180515-004500.jpg
 
View attachment 777707

Muda ni hakimu mzuri. Kila kitu kitakuwa wazi siku za usoni, nani mkweli au muongo atajulikana tu
 
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amesema Majeshi la Ulinzi ya Tanzania yanafanya kazi nzuri na yanaheshimika katika nchi za Afrika ila yanaharibiwa na wanasiasa,

Mbunge huyo amesema kwa kutumika huko kisiasa, majeshi, hasa jeshi la Polisi linapoteza umakini wake hali inayopelekea kutokea matukio mbalimbali ya kigaidi ambayo yameshindwa kudhibitiwa na jeshi hilo,

Akitolea mfano wa matukio ya Kibiti na ya watu kutekwa na kupigwa risasi, Selasini alisema jeshi la Polisi linahitaji kitengo makini cha upelelezi ili kuwang'amua wahusika wa matukio hayo,

Akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Ulinzi, Bungeni Dodoma, Selasini alisema kuna hofu kubwa kuwa baadhi ya maeneo nyeti hapa nchini inasemekana yanalindwa na askari kutoka Rwanda,

"Hofu hizo ni lazima ziondolewe kwani inawezekana watu hao wakahusishwa na watu wasiojulikana. Hivyo kuna ulazima kitengo cha upelelezi cha Jeshi la Polisi kikaimarishwa ili kiwe na nguvu ya kufanya uchunguzi kwenye maeneo hayo yenye hofu," alisema Selasini

Mbunge huyo alisema Jeshi la Polisi la Tanzania lina uwezo na haoni kama kuna umuhimu wa kuleta wanajeshi kutoka nchi jirani.
Sio jeshi la polisi tu karibu idara zote... Siku hizi siasa ndio kila kitu
 
Mwambieni Selasini akamtoe Ben Saanane walipomficha wakishirikislana na Mbowe kisa tu mtoto wa watu alitaka kumng'oa Selasini Rombo.
 
Back
Top Bottom