Selasini: Jeshi la Polisi linaharibiwa na Wanasiasa

Selasini: Jeshi la Polisi linaharibiwa na Wanasiasa

Mwambieni Selasini akamtoe Ben Saanane walipomficha wakishirikislana na Mbowe kisa tu mtoto wa watu alitaka kumng'oa Selasini Rombo.

Watu walio na mawazo kama ya kwako wakipata nafasi kubwa serikalini ndo wanaomshauri Rais vibaya na kumpotosha kwa faida ya mpotoshaji kama wewe wakati taifa likiangania na Rais kulaumiwa kwa mambo amabyo hana habari nayo, watu kama wewe utasema kule Kibiti Polisi na raia hawakuuwawa wala mwanafunzi Akwilina hakupigwa risasi!!! pia waandishi wa habari kama Azori hajatoweka ila kajiteka mwenyewe na kujificha!! It is always good to say the truth for the betterment of the nation. You can hide information but time will tell be it after 10 years or twenty years! Nothing can be hidden under the sun!na Rais akijua unandanya utatumbulia na kupelekwa mahakamani! Acha kijipendekeza else yatakutokea puani!
 
Back
Top Bottom