Sekta ya utalii iliingizia taifa shilingi trilioni 4 mwaka 2016 na watalii kuweka rekodi, 1,284,279

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
WATALII WALIINGIZIA TAIFA SH4 TRILIONI MWAKA 2016
Idadi ya watalii wanaozuru Tanzania imeongezeka mara dufu huku rekodi zikionyesha kuwa mwaka 2016 wafika 1,284,279.

Akiwasilisha ripoti ya utafiti kuhusiana na sekta ya utalii mwaka 2016, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Aloyce Njuki amesema hayo leo, Ijumaa.
Amesema watalii hao wameliingizia Taifa Sh 4trilioni.


 
Ila bado Mwaka jana bajeti haijatimilizwa
Na Mwaka huu wamekopa tena
 
Back
Top Bottom