Sekta ya utalii bado imelala!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Kitendo cha nchi ya kenya kumpa zawadi ya MTOTO WA DUMA bingwa mkimbiaji wa mita 100 Duniani kimeipa sekta ya utalii kenya sura ya pekee kwani imekua ni tangazo tosha katika vyombo vya habari duniani!jee TANZANIA tumewahi kutoa zawadi kama hiyo au kujitambulisha kwa namna hiyo kwa wageni maarufu watembeleapo vivutio vyetu vya utalii?namna hii tusilalamike watalii wote kufikia kenya,kisha tanzania kuja kana kwamba bado wapo ndani ya kenya.SISI TUNAPEANA ZAWADI ZA BELESHI YA DHAHABU NA VINYAGO TUU!
 
Back
Top Bottom