Sekta ya Mapenzi,Tanga is overrated!mambo ipo Uchagani

Sekta ya Mapenzi,Tanga is overrated!mambo ipo Uchagani

Migombani nuksi ila ili umfikishe kileleni lazima uweke wallet nene mezani
 
Dooooh mleta mada asikutishe bana jiamini Tanga juuuu zaid [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaaa. Nataka nami niwe kinyonga mdogo wangu.

Nasubiri siku wasifiwe watani zetu wasukuma na mimi niwe msukuma. Hahahaa.
 
Watanga kwa kudeka na kunyenyekea ndicho kinachowapa sifa. Lakini ukitaka kazikazi zungukia umakondeni ni zaidi ya mazoezi hata kama una malaria inakwisha.
Weakness yao ni kwamba hawajui kunyenyekea mwanaume, kukupiga chini ni simple na wala hajutii kuachwa.Ninaishi huku kusini mwaka wa sita sasa.
 
Hao wachaga wameacha wake zao huko wamehamia jumla tanga,nenda maeneo ya kange uone watoto wa kitanga walivyojengewa mijumba,wakina mushi huwaambii kitu aisee
 
Back
Top Bottom