VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Katika kile kinachoonekana kama kujiosha kwa wananchi,Sekretarieti mpya ya CCM sasa imevuka mipaka.Imepewa kazi za Mawaziri ili izifanye. Kati ya kazi hizo ambazo hata Katibu wa Uenezi,Nape Nnauye amezikiri ni kumaliza tatizo la soko la korosho katika mkoa wa Mtwara(ambayo ni kazi ya Mawaziri wa Kilimo na Ushirika pamoja wa Viwanda na Biashara).Pia,kurejesha maeneo yaliyovamiwa katika mkoa wa Arusha(ambayo ni kazi ya Waziri wa Ardhi).
Hiyo itafanywa katika ziara zitakazoanza mikoani ambazo zitaihusisha Sekretarieti hiyo mpya chini ya Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana. Ziara hizo zimetafsiriwa na Wachambuzi wa mambo kama kuiga M4C ya CHADEMA ili kupunguza kasi ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Ama kweli chama changu kinatapatapa.Kingeanza kwanza kwanza na kumalizia kujivua gamba halafu ndipo mambo hayo yafuate. Kweli tumeishiwa mbinu na malengo!
Si bado sijahama chama.Tatizo liko wapi?Mmh, Si ulisema baada ya kikao cha mkutano mkuu Dodoma week iliyopita kwamba wewe kwa sasa si tena CCM na unakusanya tu document halafu utaitisha mkutano na waandishi wa habari ili uyaanike yote CCM waliyoyafanya. What happen?. Are you still gathering 'those documents'
We haven't forgot, Bado tunasubiri ahadi zako ulizozitoa last week
Unamaanisha nini Mkuu? Mimi bado ni CCM ingawa sizuiwi kusema kweli na yeyote yule awaye.Nikijitoa rasmi utajua tu.Haraka ya nini?Mzee Tupatupa,
Ukiwa muongo basi usiwe mwepesi wa kusahau!
Mmh, Si ulisema baada ya kikao cha mkutano mkuu Dodoma week iliyopita kwamba wewe kwa sasa si tena CCM na unakusanya tu document halafu utaitisha mkutano na waandishi wa habari ili uyaanike yote CCM waliyoyafanya. What happen?. Are you still gathering 'those documents'
We haven't forgot, Bado tunasubiri ahadi zako ulizozitoa last week
Unamaanisha nini Mkuu? Mimi bado ni CCM ingawa sizuiwi kusema kweli na yeyote yule awaye.Nikijitoa rasmi utajua tu.Haraka ya nini?
Si bado sijahama chama.Tatizo liko wapi?
Alikuwa ana-tupatupa maneno
Ha ha ha. Mkuu, hapo umeniua.
The guy seem to be all over the place. Anataka kutuaminisha kama ni mtu furani kumbe labda sivyo, halafu kibaya zaidi, anakuwa mwepesi wa kusahau aliyoyaandika au kuyasema hapa jf. The characteristic that beggar description
Ongeeniiiiiiiiiiiiii,mkimaliza mtaniambia.Mimi namalizia kazi yangu humu tuwaachie chama chenu cha wezi
Chama chetu?, kipi hicho?.
Kwani inahitaji kuwa kwenye chama furani kutambua kama jamaa furani is dubious character.
We are just measuring your personal integrity in jf only. Haya mengine ni utashi na choice ya mtu.
jiulize kwa nini wadau badala ya kujadili hoja wanakujadili wewe..watu hawasahau mkuuOngeeniiiiiiiiiiiiii,mkimaliza mtaniambia.Mimi namalizia kazi yangu humu tuwaachie chama chenu cha wezi
Kwani hoja yanko ni ipi hasa ili niijibu?