SEKRETARIETI yapewa kazi za MAWAZIRI

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Katika kile kinachoonekana kama kujiosha kwa wananchi,Sekretarieti mpya ya CCM sasa imevuka mipaka.Imepewa kazi za Mawaziri ili izifanye. Kati ya kazi hizo ambazo hata Katibu wa Uenezi,Nape Nnauye amezikiri ni kumaliza tatizo la soko la korosho katika mkoa wa Mtwara(ambayo ni kazi ya Mawaziri wa Kilimo na Ushirika pamoja wa Viwanda na Biashara).Pia,kurejesha maeneo yaliyovamiwa katika mkoa wa Arusha(ambayo ni kazi ya Waziri wa Ardhi).

Hiyo itafanywa katika ziara zitakazoanza mikoani ambazo zitaihusisha Sekretarieti hiyo mpya chini ya Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana. Ziara hizo zimetafsiriwa na Wachambuzi wa mambo kama kuiga M4C ya CHADEMA ili kupunguza kasi ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Ama kweli chama changu kinatapatapa.Kingeanza kwanza kwanza na kumalizia kujivua gamba halafu ndipo mambo hayo yafuate. Kweli tumeishiwa mbinu na malengo!
 
Mmh, Si ulisema baada ya kikao cha mkutano mkuu Dodoma week iliyopita kwamba wewe kwa sasa si tena CCM na unakusanya tu document halafu utaitisha mkutano na waandishi wa habari ili uyaanike yote CCM waliyoyafanya. What happen?. Are you still gathering 'those documents'

We haven't forgot, Bado tunasubiri ahadi zako ulizozitoa last week
 
Mzee Tupatupa,

Ukiwa muongo basi usiwe mwepesi wa kusahau!
 
Mmh, Si ulisema baada ya kikao cha mkutano mkuu Dodoma week iliyopita kwamba wewe kwa sasa si tena CCM na unakusanya tu document halafu utaitisha mkutano na waandishi wa habari ili uyaanike yote CCM waliyoyafanya. What happen?. Are you still gathering 'those documents'

We haven't forgot, Bado tunasubiri ahadi zako ulizozitoa last week
Si bado sijahama chama.Tatizo liko wapi?
 
Alikuwa ana-tupatupa maneno
 
Mzee Tupatupa unasubiri nini kuhama? Bado unatupatupa nini? Hawa Chama Cha Mafisadi (CCM). Njoo ujiunge na kikosi cha ukombozi ili tuendeleze mapambano ili tuikomboe nchi hii. Ukiendelea kubaki huko mimi nitakuita wewe ni CCM maslahi
Unamaanisha nini Mkuu? Mimi bado ni CCM ingawa sizuiwi kusema kweli na yeyote yule awaye.Nikijitoa rasmi utajua tu.Haraka ya nini?
 
Si bado sijahama chama.Tatizo liko wapi?

Msimamo wako unatoa mashaka ambayo kwa wale wenye kuangalia mambo kwa macho mawili tunapatwa na wasiwasi kwa kile unachokisema mara nyingi hapa jf.

Haiwezekani ukawa ndani ya chama kama kiongozi kwa jinsi unavyodai, halafu unapumua negativity tu ukitoka kwenye vikao kana kwamba mambo yote ndani ya CCM hayana hata shreds za positivity.
 
Alikuwa ana-tupatupa maneno

Ha ha ha. Mkuu, hapo umeniua.

The guy seem to be all over the place. Anataka kutuaminisha kama ni mtu fulani kumbe labda sivyo, halafu kibaya zaidi, anakuwa mwepesi wa kusahau aliyoyaandika au kuyasema hapa jf. The characteristic that beggar description
 
Ha ha ha. Mkuu, hapo umeniua.

The guy seem to be all over the place. Anataka kutuaminisha kama ni mtu furani kumbe labda sivyo, halafu kibaya zaidi, anakuwa mwepesi wa kusahau aliyoyaandika au kuyasema hapa jf. The characteristic that beggar description

Ongeeniiiiiiiiiiiiii,mkimaliza mtaniambia.Mimi namalizia kazi yangu humu tuwaachie chama chenu cha wezi
 
Chama chetu?, kipi hicho?.

Kwani inahitaji kuwa kwenye chama furani kutambua kama jamaa furani is dubious character.

We are just measuring your personal integrity in jf only. Haya mengine ni utashi na choice ya mtu.
 
Kwani hoja yanko ni ipi hasa ili niijibu?
 
Nafikiri hili la hoja tuliache mpaka hapo utakapopenda na kuamua kuweka character yako mahali panapotakikana kwa sababu nina wasiwasi hoja yangu hautaitendea haki.

Let forget and move on for today....but remember as ''apolycaripto'' said, Ukiwa muongo basi usiwe mwepesi wa kusahau!

  • ciao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom