PreGE2025 Sekretarieti ya Mbowe kuhama haina athari kama ilivyokuwa kwa covid 19. Hawa ni uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi.

Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa.

Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara.

Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa.

Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo

Soma pia
 
Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa. Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara. Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa. Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
 
Naungana na wewe moja kwa moja Hawa jamaa hawana madhara yoyote waeende tu
 
Huwez judge suppoters kisa umegombana na mtu mmoja.
Supporters ni wengi wako wastaarabu na wapo wasio wastaarabu
Fine, uko sahihi...but nilikuwa naangalia/nasoma live streaming responses ya Kigaila, woooooooooooooooooooooooote walikuwa wanatukana! Itafute then you scan thrhogh utaona ukweli waaaaaaaaaa
 
As i said, huwez ku generalize wale ndio wote. Thats very wrong
 
Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa. Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara. Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa. Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo

Ni wa kuhurumiwa tu! Simba is strong than ever...
 
This are the one’s who have been making CHADEMA redundant ! They have been used and some being in CCM payrolls ,
This is the group brought Lowasa 2015 and made CHADEMA to loose election!
Goooooo time for real change is here!
#samuamustgo
 
Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi.

Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa.

Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara.

Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa.

Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo

Soma pia

Pamoja na hayo Lisu na Heche watafute zaidi kuunganisha wanachama. Umoja ni nguvu!
 
mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
Sasa umeandika nini? Hebu rudia kusoma ulichoandika uone ulivyo punga
 
Back
Top Bottom