Sekretarieti ya ajira mnatuumiza sisi vijana

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
334
57
Ni bora kuwa na taarifa sahihi kuhusu mchakato wa ajira unavyoendelea kwa kila usaili unaofanyika,kwa mfano usaili wa mwezi wa sita kuanzia tarehe 14-21 walisema watatoa majibu ndani ya wiki mbili cha ajabu sasa ni mwezi umeisha wapo kimya tunaomba mtupe taarifa hata kama si ya kuitwa kazini umma ujue kinachoendelea kukaa kimya si vizuri kwenye taasisi inayoendeshwa kwa kodi zetu
 
ujumbe ni mzuri lakini wanayo web yao, kwanini usiwaulizie huko ili upate jibu sahihi!kuliko kulalamikia huku na huenda wasiupate huu ujumbe
 
Watakwambia SUBIRI. ndio jibu pekee walilo nalo.
 
Ni bora kuwa na taarifa sahihi kuhusu mchakato wa ajira unavyoendelea kwa kila usaili unaofanyika,kwa mfano usaili wa mwezi wa sita kuanzia tarehe 14-21 walisema watatoa majibu ndani ya wiki mbili cha ajabu sasa ni mwezi umeisha wapo kimya tunaomba mtupe taarifa hata kama si ya kuitwa kazini umma ujue kinachoendelea kukaa kimya si vizuri kwenye taasisi inayoendeshwa kwa kodi zetu

Mwezi mmoja tu unalalamika ndugu yangu?!
Kuna watu wamesubiri majibu kwa miezi mitatu.
 
Back
Top Bottom