Sekretariete mpya CCM, yavuja!

Hakuna mwenye udhubutu(kwa aina ya wanaccm hawa wenye nguvu sasa) wa kuijenga upya CCM bila fikra za kimakundi!
 

...heading ingesomeka hivi...HAWA NDO WATAKAO BEBESHWA JENEZA LA CCM HADI 2015...
 
Mang'ula inawezekana maana alikatwa jina alipopewa trip Msumbiji
Kikosi ya Nchemba Wassira Makamba au weka Lusinde ilikuwa kiboko kimkakati
Km imevuja kweli ni kigingi wa EL hata best wake Diallo kaibeba Mwanza sijui ata
 
CCM ni ni taasisi kubwa sana hakuna siri zinavuja kijinga jinga kama Chadema
 
Kwa nini wasitumie Secretariati ya kukodi kama walivyofanya Tanesco kwa Net Group? Maana CCM hakuna msafi aliyebaki kuwaletea matumaini tena.Wote ni Rushwa rushwa tuu.
 

Hawa hawapo kwenye kamati kuu??

 
Mangula akikubali kurudi, nitaamini kuwa uzee umeichukua akili yake na sasa anaelekea kuwa...mtoozeni.

Kwa ninavyomjua Mangula na akili pamoja na wale wazee vichwa waliofundisha ama kupitia Chuo cha Magogoni hawawezi kuwa front katika chama kinachokufa.
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
mkuu hapa ujuaji mwingi mbele giza, au umeota ndoto zako za mchana baada ya kuzidisha viroba
 
Mtu akifilisika kimawazo lazima aanze kutafuta umbea kwa majirani kama anavyofanya mwenye hii siredi
 
Kukaa na kuanza kuijadili CCm ni ugonjwa wa akili, mwemye akili ajadili ujinnga, acha wafu wakazikane. tujenge nchi yetu. nikiona neno CCM nhisi kichefu chefu
 
wewe unayesema Mangula is the gud Architect in that field,umesahau kwamba alikuwapo mwaka 2000, u mean yeye ndio aliye chora jamaa akapita?
 
Mangula, Migiro, Diallo....sidhani kama watakuwepo kwenye hiyo safu! CCM ya sasa ni ya watu wa 'type' ya kina Nape, Mukama, Wasira, Sophia Simba...wanasiasa feki feki hivi waliokaa kimipasho mipasho!

ni njama za mafisadi kujaribu kufanya pre-emption ili orodha ibadilike. kwanza Diallo ni Mwenyekiti wa mkoa na hawezi tena kutumikia nafasi nyingine. Hofu zinawapanda mafisadi wale wale waliosema wanadhibiti asilimia 75 ya wajumbe wote.
 
Ningekubali lakini kwa mangula ndo umenipa wasiwasi, hawezi kurudi na hata akirudi atakuwa amechoka alikuwa nje ya mtandao for 10 yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…