Sekretariat ya ajira mnatisha

Sekretariat ya ajira mnatisha

Ukiona secretariety imetangaza nafasi za watendendaji wa vijiji na nafasi nyingine za kada ndogondogo andika barua waweza pata ila kama ni nafasi za juu(kada kubwa) sahau labda kama unataka uzoefu wa interview hapo sawa
 
Nina mfano hai kabisa, utumishi wanafanya kazi nzuri sana nina rafiki zangu wa karibu hawafahamiani na mtu yeyote pale na tumekuwa nao kitaa tu huku kwetu uswahilini, mama muuza samaki, wameomba wakaitwa kwenye written interview wakajiandaa vizuri wakafaulu mtihani na wakapita na oral pia, mmoja ni mchumi sasa kwenye ofisi ya waziri mkuu posta.......hakuna upendeleo utumishi bali uwezo wako wa kujua vitu katika course yako uliyosomea, umakini na kujiamini kwako kwenye taaluma yako tu...
 
ke/me punguza jazba, kukosa kazi kusikukoseshe hekimatele.

nawapongeza sana utumishi na wanafanya vizuri kuwapa mitihani, kwani wengi wenu mna vyeti vya kuibia tu. Na mitihani yenyewe mbona rahisi hivyo kuliko hiyo ya practical unayolilia? Eh..Na Utumishi hawafundishi kazi wao wanatafuta wafanyakazi tu wenye vigezo. Kazi ya ufanisi wa mfanyakazi linapimwa na shirika linalo ajiri. Merde!

ni kweli kabisa wakuu hawa jamaa wanajitahid kabisa na wanatoa mwanya kwa kila mwenye sifa kuomba kz,,
tatizo linakuja ktk usahihishaji wa hiyo mitihan,,binafsi nimehudhuria mara nyingi lkn kwa kweli ninavyojib na majib ninayoyapata haviendani kabisa,,,lkn pia kufanyika mitihan saa nne asbh na matokeo kutoka saa 11 jioni ya watu zaid ya 500 ni ajab kabisa kuna possibility kubwa kwamba wanakuwa na wa2 wao tayar,,kama kweli wanasahisha na kumpa kila m2 haki yke bac
big up tume & congratulation for what ur doing.
 
Labda multiple choice
 
ni kawaida ya watanzania kulalamika,tume ya ajira kwa kweli imesaidia sana sana.Zamani ajira zilikuwa zinatolewa kwa kuangalia ukabila sana na mambo mengine ya kishenzi,leo hii hata watoto wa makabwela tunapata kazi.Sasa wewe kisendi sijui unataka nini? Tume hii imeondoa ushenzi mwingi sana

Mi naona hao ndugu zenu walipata kama bahati nasibu tu.
 
Acheni ubaguz sasa kama wote mia nne wanasifa kwa nini wasiitwe au wewe una first class so roho inauma unapoona wanaita hadi lower second ? Acheni ubinafsi kapambaneni na co kutoa visingizio.
 
sekretariate ni urasim tupu umejaa pale, interview nyingi ni kutimiza formalities tu... genuine position katika kumi inaweza ikawa moja tu ndio iliyoachwa kwa watoto wa wakulima.
:lying:
 
kwa ujumla siwalaum secretariet kwasababu mpaka sasa hawajapewa fursa ya kuajili ila ninachokiona ni kuziba mapengo pale ofisi fulani kunapo kuwa kuna mtu amekufa au amestaafu kwani serikali inatoa ajira kwa maana ya ajira kwa kada mbili tu elimu na afya je umeona huko kunausumbufu wa mitihani ili upate kazi? kwa hiyo ajira za replacement lazima ziwe na utata kwasababu wahitaji ni wengi na nafasi chache na vitu vingine vinaanzishwa kisiasa tu mbona secta zingine bado wanaajili wenyewe hawapitii utumishi hapo utaona mfumo ulivyo kila mtu anajiamulia ndio selikari yetu sikivu ilivyo
 
Mi naona hao ndugu zenu walipata kama bahati nasibu tu.

zali linatokea kwa watu mmoja mmoja ila kujuana,memo,connection ndo mpango japo najua hapa watu watakuja kubisha lakini huo ndo ukweli
 
kama ukiitwa kwenye interview na uwezo wa kufika unao .....nenda mi nawafahamu watu wengi tu wamepata ajira kupitia interview zao....iko hivi....ukifanikiwa kupenya kwenye kwenye pepa na kufika ana kwa ana hata kama hutaitwa kwa kazi ile ...kuna nafasi ya kuitwa katika nafasi kama ile kwa mwaajiri yuleyue au mwingine...yaani unawekwa kama akiba...reserve...kuna jamaa walipiga interview hwakitwa kazini baada ya kupita wakapigiwa simu...vipi ushapata kazi ...hapana...kuna kazi hii sehemu fulani uko tayari...ndio....basi kazi umepata......mpaka sasa nawafahamu jamaa kama watatu hivi .....walfanya usaili kitambo mpaka walijisahau na walishatukana.....

MUHIMU: Kama umeitwa kwenye usaili na nafasi unayo nenda hujui lini ni siku yako ya zali....kadri unavyojaribu mara ndiyo unavyoongeza nafasi za kupata kuliko kutojaribu kabisa.....
 
Umenena Muungwana.
Nakuunga mkono.
 
kweli kabisa sekretarieti wajichunguze na kuona haya madhaifu,,juzi nilifanya mtihani wao wa mchujo,,kwa kweli kama ulimaliza chuo muda kidogo basi usitegemee kupata maksi wanazozitaka,,pia tatizo lao jingine wana majibu yao tu,,yani hata kama una jibu lako ni sawa na swali lakini ni tofauti na majibu yao basi imekula kwako,,pia katika maswali ya essay ni ngumu sana mtu kupata 98,,pia kwa nini hakuna nafasi ya kukata rufaa?
 
Hawa jamaa mfumo wao haueleweki kabisa, wanasumbua watu wanasafiri umbali mreefu, then bado wanawapiga chini,
tuwaache waendelee kugawana kazi,then ndugu zao wakiisha inawezekana ikafuata zamu ya wanyonge ambao wengi wana elimu zisizo na magumashi lakini bado wanaonekana hawafai, kisa hawana 10yrs experience.
 
Bt mbona so many guys of us wamepata pale na tukisota wote kitaa? Mi nadhani they are doing fair enough kwa the way wanavyoenda!!! Big Up sana Sekretariat

Sina uhakika kama lawama zinazotupwa moja kwa moja kwenda Utumishi zinastahili maana mimi pia nilipiga Interview pale few years ago na nikapata kazi ninayoendelea nayo hadi sasa. Vile vile, niliwahi kuwepo katika Panel ya Usaili kwa walioomba kazi kupitia mkoa fulani hivi na sijaona kuwepo kwa dalili za upendeleo wa aina yoyote ile.

Tatizo naloliona katika mfumo wa Sekratarieti ni pale inapoita watu wengi mfanoo kuanzia 75 na kuendelea kwa nafasi 1, hapo inakuwa sio fair. Na hii hutokea sana kwa kazi za watu wa Maendeleo ya Jamii n.k
 
watz wote tunahtaj mabadiliko kwa sababu hii sekretariate ya ajira wanapotezea watz muda na hela,hebu wabunge tusaidieni haiwezekan nafasi 1 mnashortlist watu 400,kweli kijana asafir kutoka mbeya mpaka dar kwa hali hyo,pili mitihan yenu utadhan watu wametoka chuo jana,kwa nini msitengeneze practical question ambazo zipo makazini kama ni kupima watu,cha ajabu kingne mnasahihsha na mashine au mkono haiwezekan watu 200 au 400 mtihan umefanyka asbh jion majibu yapo internet!wasi wasi wangu lazima kutakuwa na hujuma au kuna mambo ambayo yanafanyika! Kwa kweli interview za namna hii bora niendelee kuwa wakala wa mpesa au tgo pesa!kaz ipo naamin RAIS AJAYE ATAFUTA MFUMO HUU

Wanasahihisha watu 50 wanaweka matokeo nyie mlobakia ndo imekula kwenu!
 
Inaonekana Ulkuwa kilaza ww, Unataka interview za zmn unaulizwa Siku ina Saa Ngapi?
 
zali linatokea kwa watu mmoja mmoja ila kujuana,memo,connection ndo mpango japo najua hapa watu watakuja kubisha lakini huo ndo ukweli

Ajira ngumu jamani asikwambie mtu
 
Back
Top Bottom