Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Halmashauri ya Mji Korogwe, Mkoani Tanga imedhamiria kuifanya shule Mpya ya Sekondari iyogharimu Milioni 584, 280,029 iliyopo kata ya Majengo kuwa ya Mfano kwa kuhakikisha Wanafunzi shuleni hapo wanaongoza kwa matokeo ya Ufaulu wa Mitihani pamoja na ubora wa Majengo ya Madarasa, Utawala, Tehama, maktaba na Maabara za Kisasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hayo yamebainishwa na Diwani wa Kata ya Majengo Mhe. Mustapha Shengwatu kwenye Hafla fupi iliyoandaliwa na viongozi wa serikali ya Kata ya Majengo ambapo amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Majengo