iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
Habari,
Wadau naomba mnisaidie shule za private kidato cha tano ya bweni, zinazopokea reseaters (wanaorudia mtihani kidato cha nne) iwe wilaya yoyote ya Njombe. Ambayo wako vizuri iwe ya mchanganyiko au wasichana tupu.
Asante