Sekondari 17 Singida kupata mtandao wa Intaneti

Sekondari 17 Singida kupata mtandao wa Intaneti

usije shangaa anaenda nje analeta pentium 1 ambayo baadala ya kuwasaidia inawalia umeme na kuwafanya wasubirie nusu saa iwake! Hizi hupatikana kwa msaada na ukitaka unapewa bure. Nauli yako tu. Zinakuwa na ram 500kb, hd 1gb nk
 
wakiwekewa internet ndo watatoka kwenye kima cha chini cha sh 1300 kwa siku? Wataondokana na njaa? Watakuwa hawana mgao wa umeme? Mafuta ya taa yatapunguzwa bei?
Wakiwekewa internet wataweza kufaulu masomo yao ya sekondari? Walimu wa kuwafundisha kompyuta wapo?
 
Nyie endeleeni kuandamana, mtaletewa kima cha chini na Slaa cha posho yake milioni saba, hakuta kuwa na njaa, na Arusha ataaanza kuchimba mafuta, ataacha kukusanya kodi ili walimu awalipe kwa maandamano.
 
Huyu mbunge jirani yangu ni sawa na 1∕10000000000 Tundu Lisu ingawa ni tajiri.wenye kuelewa na waelewe. Matatizo ya shuleza kata ataacha hawa adolescents kudownload pon................................ Planning is a big problem. Ok uKishawekwa huo mtandao hapo Sgd semeni ili tummamlize wanajf.
 
Kwa umeme upi?
haya madenti; facebook hiyooo buuure kabisa! hahaa
 
Back
Top Bottom