Sekido (dereva boda boda)

Sekido (dereva boda boda)

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Naitaitaji kijana mwaminifu, nampa SanLG MPYA, mazingira ya kufanyia kazi ni Dodoma mjini (lami), kuanzia jumapili hadi ijumaa, leseni yako ni uaminifu, malipo: UTAKABIDHI 45,000/= /week, mafuta ni yako, service ya kwangu. Kama upo tayari, au una mtu unamfahamu weka hapa mawasiliano.
 
Mzee watokea BK sehemu gani kwani watu wa huko ndo wanaita boda boda SEKIDO
 
teh hehe, umenikumbusha mbali nilikutana na hiki kituko, nilicheka kidogo nizimie. Ikanibidi nifanye uchunguzi kujua source ya hilo neno "SEKIDO"
 
Back
Top Bottom