chicken "SEKELA", sina uhakika hili jina sekela lina asili ya wapi katika ulimwengu wa mapishi kama ilivyo chicken tikka n.k..kwa ufupi ni kuku wa kuchoma (grill, bbq sijui vinafanana!).
Mahitaji
Kuku alietolewa ngozi,(vipande, au mzima) kulingana na upendavyo .
Kitungu thoumu na tangawizi3 vijiko ,
Limau au ndimu,
Chumvi kiasi
Binzari 2 vijiko,
Masala ya Tanduri au Garam 2 vijiko
Pilipili mbichi iliyosagwa au black pepper 1kijiko
Ukwaju au vinegar 1/2 kikombe,
Soy sauc 3 vijiko.
Asali au sukari vijiko 3 au kadri unavyopenda radha ya utamu.
Rangi ya chakula(food color) kias (red yavutia zaidi, japo me hupendelea kipapripapri ama kijani) , Ongeza maji kidogo kama mchanganyiko utakuwa mzito sana, baada ya hapo una mloweka kuku wako(vipande, ama aliepasuliwa tu kati) kwenye mchanganyiko kisha una mwacha kwenye friji kwa muda wa masaa mawili. Hapo sekela anakuwa tayari kwa kuchomwa.
Yaani mimi nimekuja kasi nikijua kaka yangu anashusha mavituuuz.
Ngoja mtambuzi aje
the secret ingredient kwenye 'sekela' ni papai bichi au lilioiva kidogo ambalo inabidi ulisage na mashine baada ya hapo you can put your spices depending on your taste. Ginger and garlic make a perfect combination to any additional spices.chicken "SEKELA", sina uhakika hili jina sekela lina asili ya wapi katika ulimwengu wa mapishi kama ilivyo chicken tikka n.k..kwa ufupi ni kuku wa kuchoma (grill, bbq sijui vinafanana!).
Mahitaji
Kuku alietolewa ngozi,(vipande, au mzima) kulingana na upendavyo .
Kitungu thoumu na tangawizi3 vijiko ,
Limau au ndimu,
Chumvi kiasi
Binzari 2 vijiko ,
Masala ya Tanduri au Garam 2 vijiko
Pilipili mbichi iliyosagwa au black pepper 1kijiko
Ukwaju au vinegar 1/2 kikombe,
Soy sauc 3 vijiko.
Asali au sukari vijiko 3 au kadri unavyopenda radha ya utamu.
Rangi ya chakula(food color) kias (red yavutia zaidi, japo me hupendelea kipapripapri ama kijani) , Ongeza maji kidogo kama mchanganyiko utakuwa mzito sana, baada ya hapo una mloweka kuku wako(vipande, ama aliepasuliwa tu kati) kwenye mchanganyiko kisha una mwacha kwenye friji kwa muda wa masaa mawili. Hapo sekela anakuwa tayari kwa kuchomwa.
Nafikiri ndo hiyo tandoori chicken
ni kukuwa kuchoma kwa viungo mbalimbali