Zinauzwa Posta pale round about,,,mi nilikua nayo sema imeshaisha ila nimehamia humu ss hiviView attachment 171940
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
duh. saa ghali kuliko simu.
mkuu stata napata original??je kwa laki 2 napata??Square??
Zinauzwa Posta pale round about,,,mi nilikua nayo sema imeshaisha ila nimehamia humu ss hiviView attachment 171940
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Babla's???!!!!
Babla's???!!!!
Olesaidimu,babla's ndo nini??
Anamanisha duka la siku nyingi sana linalouza saa
duh. saa ghali kuliko simu.
unataka model gani?wapi naweza pata saa hiyo tajwa hapo juu
unataka model gani?
Seiko 5 original zinapatikana round about ya posta, nilipoenda kuulizia mara ya mwisho zilikuwa ni laki nne na sitini na nane (468,000), watu wengi hawazifahamu hizi saa, hizi ndizo saa walizotumia mababu zetu kipindi hicho, ni roho ya paka, haziingii maji, hazitumii betri, ni automatic, unapoishika na kuitingisha ringi yake ya ndani inazunguka, ringi ikizunguka saa inaanza kutembea, unatumia na kumrithisha mwanao, na yeye anatumia na kumrithisha mtoto wake, hutoadaiwa betri wala kuona imesimama, hapa mjapan alitulia kutengeneza hizi saaView attachment 172403View attachment 172404View attachment 172405View attachment 172406

wapi naweza pata saa hiyo tajwa hapo juu