Seif Sharifu Hamad na viongozi wengine (CUF) waliopo katika Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, wanatakiwa kuwaunga mkono wana UKAWA kwa kujitoa katika hiyo serikali, Maana CUF na Sharifu ndio wameshambuliwa zaidi na LUKUVI kuwa ni UAMSHO.
Kwa sasa Sharif aache tabia yake ya kuchochea mambo wakati yeye anaendelea kula matunda ya Serikali, na haileti picha nzuri kuendelea kufanya kazi na INTARAHAMWE kwa mujibu wa Lipumba.