MangaPwani
Member
- Oct 5, 2014
- 26
- 1
Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na c mtu mwingn yeyote km jana tulivomsikia Jaji Lubuva alipocma wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo mwenyewe kazi hy ni tume pekee,
Anza na January Makamba kama kweli una machungu na nchi yako.Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na c mtu mwingn yeyote km jana tulivomsikia Jaji Lubuva alipocma wananchi na wanasiasa hamna haki ya kutangaza matokeo mwenyewe kazi hy ni tume pekee,
sasa hayo matokeo mnatubandikia ya nini??
harafu mnatuona kama sisi mapoyoyo sana uchaguzi unafanyika vizuri kura zinahesabiwa mawakala wote wanakubaliana na kusain watu wanachukua hayo matokeo wanayajumlisha kujua nani mshindi KWA ngazi ya udiwani na ubunge mwiasho wa siku kwenye kutangaza inakuwa shida au mnatangaza tofauti na yaliyobandikwa vituoni??
sasa hapa kama ndio hivyo ilikuwa haina haja ya kuyabandika na kuhesabu vituoni mngekusanyiwa mabox yenu wawaletee hapo ofisini kwenu mfanye kazi yakuhesabu wenyewe hata kama mtama Liza baada ya miezi 6 haina shida tungewasubili 2