Sehumu ambazo mstaafu hashauriwi kuwekeza

Sehumu ambazo mstaafu hashauriwi kuwekeza

Bwege2030

Member
Joined
May 10, 2025
Posts
82
Reaction score
152
SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA

Fikisha ujumbe kwa wahusika

🎯Volatile investments.
aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama cryptos

🎯High-risky investments. uwekezaji ambao hauna uhakika wa kulinda mtaji wako na faida yako.

🎯Uwekezaji ambao faida yake ipo chini ya kiwango cha mfumuko wa bei (inflation > return)

🎯Biashara ambazo zinahitaji “active management”(kilimo, usafirishaji, ufugaji, uzalishaji, n.k)

🎯High capital-intensive businesses” biashara ambazo kukuwa kwake kunahitaji kuongeza mtaji mara kwa mara

🎯Biashara ambazo “payback period” na returns zake ni za muda mrefu. Average life expectancy of an African retiree is less than 20 years, some investments need 15-20 years to payback

🎯Usitumie mafao yako kama
dhamana (collateral), especially kufanya biashara whose returns are lower than the cost of the loan.

NIWEKEZE WAPI SASA?

🎯 Bonds/Sukuk (large portion)
🎯Stocks (moderate)
🎯Real estate
🎯Mutual funds/Unit trusts
🎯 Index funds
🎯Professional services with limited travelling
 
Pension sio kwaajili ya kuwekeza, Pension ni ya kula mdogo mdogo kwa lifestyle hile hile dagaa nyanya chungu
Hahahaha usipowekeza utaimaliza kabla hujafa Alafu uhangaike,maana nguvu za kufanya kazi hauna tena,watoto nao Kuna asilimia 99 ya kukusaliti
 
Hahahaha usipowekeza utaimaliza kabla hujafa Alafu uhangaike,maana nguvu za kufanya kazi hauna tena,watoto nao Kuna asilimia 99 ya kukusaliti
Kuwa na sehemu ya kukuingizia kipato kabla ya kustaaafu. Pesa ya kustaafu ichangie mtaji kidogo kwenye shughuli uliokuwa unaifanya kabla ya kustaafu...then ni kula maisha tu.
 
Back
Top Bottom