Club 7 nilikuwepo jumamosi ..Kule kushoto kwenye makochi pazuri sana hasa lile kochi refu ...Yule DJ Big mweupe hivi anajua sana kupangilia ngoma ...Ila washenzi maji ya jero wanauza elfu mbili *****