SEHEMU ZA SIRI AU ZA UMOJA WA MATAIFA?

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Kama mtu ameshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 8 hana haki ya kuita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali ni mali ya UMMA chini ya Wizara ya Utalii na Burudani.
Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya UMOJA WA MATAIFA kitengo cha misaada. Zaidi ya 15 unastahili kufikishwa mahakama kuu kwa matumizi mabaya ya neno SEHEMU ZA SIRI.
 
Bidada kwa vijambo...!
 
hahahahah
 
Back
Top Bottom