Sehemu za burudani Mtwara

Sehemu za burudani Mtwara

ksb

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
42
Reaction score
0
WanaJF Naombeni msaada kujua sehemu za burudani mjini mtwara,natarajia kuwa mtwara kikazi kwa wiki 3,je kuna sehemu nzuri ya burudani kama vile night club na je kuna watoto wazuri wa kuvinjari? N.k
 
Mkuu kuhusu night clubs kuna Makonde na Maisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom