Sehemu ya photoshoot hapa Dar

Sehemu ya photoshoot hapa Dar

Joined
Sep 4, 2017
Posts
43
Reaction score
43
Habarin za sahiz jaman kuna ka birthday ka mtoto hiv karibuni.

Nilikuwa naomba kuelekezwa kwa hapa Dar, studio inayofanya photoshoot na kuandaa background kama mfano wa picha niliyo attach hapa. Ntashukuru kwa ushirikiano wako.
23aceff79b644aa299db07e9a664de64_1602740622338.jpg
 
Back
Top Bottom