Sehemu ya kwanza ya Madudu Yaliyonikimbiza CHADEMA, Kesi ya UBAKAJI/RAPE inayomkabili LEMA UK

Status
Not open for further replies.
Mmh!! No comment kama gazeti lenyewe lililoripoti ni uwazi!!! Si gazeti la udaku hilo???/
 
Huyu dada anakaa London hipi na anafanya kazi gani. Kesi ya kubaka UK mtu asingekuwa huru mpaka sasa. Hiyo kesi mpaka sasa hivi mtuhumiwa angekuwa ndani. Uongo mwingine hauna maana.
Hivi watu wa UK kwa nini tusimtenge Chris Lukosi na Serengeti yake ndo ajue ubaya ubaya tu? Huyu jamaa njaa na kupenda masifa kunampeleka pabaya
Hivi nyie misukule wazima kweli
Haya mambo ya kubaka yananihusu nini mimi?
 
Mmh, nadhani ni vizuri kamanda lema, lukosi na huyo dada, kila mmoja kwa wakati wake aeleza juu ya hili, lakini ina maana tanzania hawashirikiana na mataifa mengine kijinai? Binafsi naona kama hadithi vile!
 
CCM WAPO KAZINI,kwa wake wanaokumbuka saga la Mrema 1995 na pia dr Slaa, HIVI KWA NINI CCM JIMBO LA ARUSHA MNALITAKA KWA UDI NA UVUMBA NA MPO TAYARI KUFANYA JAMBO LOLOTE. KUFANIKISHA NJAMA YENU???!!
 
View attachment 93739
kwa wasio mjua ni huyo hapo,ni mzushi mpenda sifa na kujipendekeza

Hawa wanaudaku si ndio walioandika kuwa Pendo anauza madawa ya kulevya, sasa utawaaminije wambea kama hawa si ni waganga njaa tuu hawa. Wanatumiwa na wenye fedha zao za kifisadi na wateja wao watakapogundua uongo wao wataacha kununua huo udaku wao.
 
Huyo dada namjua ni mchumia tumbo wa ccm. London kwenyewe deal chafu ndio zinamuweka mjini
 
hahaaa, baada ya lile jaribio la kusema CDM ni chama cha ugaidi kushindikaana sasa inaelekea to another move ya kusema ni chana cha ubakaji. Anyway politics at making.
 
Uyu Mbuzi kaileta hii thread jukwaa la siasa kaona hapati wachangiaji kaamua kuileta uku.,naona na wewe unatafuta bwana

Usilolijua sawa sawa na ucku wa giza ya nn kumtukana mwanaume mwenzio kama uwezi kuchangia kaa kimya. Au ndio wale2
 
tufike mahali tabia ya kujadili maisha binafsi ya watu tuache kama taifa tuna matatizo mengi sidhani kuna faida kufuatilia maisha binafsi ya lema
 
Yaani Lema anajulikana alipo.. Kweli Mahakama na Polisi wa Uk wangeshindwa hata kutuma maombi hapa Tanzania ili Lema akamatwe na kupelekwa Uk..? Navyojua kesi za kubaka ulaya ni soo kubwa..!

Kweli sasa tunaongozwa na watu wenye akili za mabua..
 
MISS%2BFB%2BPHOTOS%2B2012%2B008.JPG
ana hadhi ya kubakwa na mh? nauliza tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom