Y yeto Member Joined Aug 23, 2010 Posts 59 Reaction score 40 Apr 13, 2015 #1 Habar wakuu Nina dogo anataka kujiajiri kwa kuwa fundi sim wapi anaweza kujifunza namna ya kuflash sim na kufanya matengenezo madogo madogo ya sim. natanguliza shukran
Habar wakuu Nina dogo anataka kujiajiri kwa kuwa fundi sim wapi anaweza kujifunza namna ya kuflash sim na kufanya matengenezo madogo madogo ya sim. natanguliza shukran
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Apr 13, 2015 #2 aende kwa mafundi wamfundishe, nna rafki yangu alifanya hivyo saizi ni noma sana,
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,554 Reaction score 4,171 Apr 13, 2015 #3 Tafta fundi....ulipe na ada... Atakufundisha tu ila usiwe mkaida au usimchoshe kwa maswali