Sehemu ya kuchoma chips

Emojis

Senior Member
Jan 4, 2017
191
219
Habari wakuu, nina vifaa vyote vya kuanzisha biashara ya chips lakini tatizo linalonisumbua ni eneo ambapo naweza anza hii biashara.

Nipo mwanza kwa yeyote anayejua sehemu nzuri naweza weka hii biashara anisaidie kama kuna kijana anayejua kuchoma chips pia si mbaya akiniunganisha naye tukaanza biashara ahsanteni naomba kuwasilisha.
 
Kuna eneo hapa Sangamwalugisha. Lakini watu wa huku wanapenda sana mamichemba na matoborwa. Hivyo uje na bei ya sahani sh 500 chips kuku mzima
 
Tafuta eneo lenye wanachuo kama SAUT ,au Bugando,na maeneo yenye maofisi utafanya biashara
 
Back
Top Bottom